Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DR Congo vs Zambia hakuna mbabe

Drc Vs Zambia DR Congo vs Zambia hakuna mbabe

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya DR Congo ‘The Leopards’ imetoshana nguvu na Zambia ‘Chipolopolo’ kwa sare ya 1-1 katika mchezo wa kundi F wa AFCON 2023 uliopigwa katika dimba la Laurent Pokou, San Pedro Ivory Coast.

FT: DR Congo 1-1 Zambia

⚽ Wissa 27’

⚽ Kangwa 23’

Henock Inonga amecheza dakika zote 90 kwa DRC dhidi ya Zambia huku Fiston Mayele, Kennedy Musonda na Clatous Chama wakishindwa kupata nafasi ya kucheza.

MSIMAMO KUNDI F

1. Morocco—(Pts 3)

2. DRC—(1)

3. Zambia—(1)

4. Tanzania—(0)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live