Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DERBYDay: Vipigo vikubwa zaidi vilivyowahi kutokea katika Dabi ya Simba na Yanga

Darbingpic Data Leo tutashuhudia matokeo ya namna gani?

Sat, 11 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo Disemba 11, majira ya saa 11:00 za jioni kutapigwa mtanange wa watani wa Jadi kati ya Simba na Yanga.

Kila timu imejinasibu kufanya vyema dhidi ya mpinzani wake kutokana na ubora waliouonesha tangu kuanza kwa msimu mpya wa Ligi 2021/2022.

Katika mpira lolote linaweza kutokea lakini mshangao mkubwa zaidi hutokea pale ambapo timu moja baina ya watani anapoteza kwa idadi kubwa ya magoli kama ambavyo imeshawahi kutokea mika ya nyuma zilipokutana timu hizi.

Takwimu za Simba sc vs Yanga sc katika mechi walizofungana magoli mengi zaid kwenye Ligi Kuu Tanzania bara tangu kuanzishwa kwake mwaka 1965.

Tazama takwimu hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live