Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#DERBYDay: Kwa Mkapa kumenoga

Kumenoga Mkapa Hya ndiyo mambo yanayopatikana kwa Mkapa

Sat, 11 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muda mchache ujao, Nchi inakwenda kusimama kwa takriban dakika 90 kupisha gumzo la Jiji.

Mechi ya watani wa Jadi Simba SC watakaoikaribisha Yanga, Ila ukiachana na hayo bado kuna burudani nyingi nje ya uwanja.

Yote hayo ilimradi tu kuoneshana tambo za nani zaidi kukilo mwingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live