Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#DERBYDay: Kumbe ni tambo tu, rekodi hizi hapa

Retun Of Champions Leo anaweza kupatikana kiongozi wa rekodi kwa sasa

Sat, 11 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vigogo Simba na Yanga wanakutana kwa mara ya kwanza katika msimu huu wa Ligi Kuu bara 2021/2022.

Yanga wapo kileleni mwa Ligi wakifukuzwa kwa karibu sana na Simba SC walio katika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi.

Hivyo mchezo wa Leo baina ya watani hao una maana kubwa katika kuamua msimamo wa ligi baina ya wawili hao.

Simba wanataka wakakae juu ya Yanga na Yanga wanataka ushindi waongeze wigo wa alama baina yao na anaekamata nafasi ya pili ambae ni Simba SC.

Lakini licha ya tambo na majigambo yote hayo baina ya wawili hao, kwa misimu minne mfululizo kwenye ligi kuu, hakuna mbabe. Simba ameshinda mara mbili na Yanga ameshinda mara mbili huku wakitoka sare mara nne.

Desemba 11, hii hapa nani kumfanya mwenzake mteja? Tazama rekodi zao hapa chini

Chanzo: www.tanzaniaweb.live