Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#DERBYDay: Kikosi cha Simba kikiwasili kwa ari kwa Mkapa

PAblo MKapa St Simba SC wakiingia Uwanja wa Mkapa

Sat, 11 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC tayari kimeshawasili eneo la tukio, katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Simba tafsiri yake ni kuwa wako tayari kuwakabili vinara wa ligi kuu Bara, Young Africans.

Simba wataikaribisha Yanga majira ya saa 11:00 jioni katika mchezo wa Ligi Kuu Bara 2021/2022.

Tazama Picha hapa chini kikosi kilivyoingia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live