Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#DERBYDAY: Hivi hapa vikosi vinavyoanza leo Yanga vs Simba

F7A14B7A D70F 4C7A 9E7E 6D30FEADEA27.jpeg Vikosi vinavyoanza mchezo wa leo

Sun, 23 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga wanaikaribisha Simba SC muda mchache ujao katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo unaovuta hisia za wengi Ligi kuu ya NBC.

Timu zote zinavutana kileleni zikiwa na alama 13 huku Simba wakiwa juu kwa faida ya magoli mengi ya kufunga.

Yanga wamekuwa na rekodi nzuri katika michezo ya hivi karibuni wanapokutana na Simba kwani wamefanikiwa kuibuka na ushindi.

Tazama vikosi vinavyoanza mchezo wa leo kwa timu zote mbili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live