Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DERBYDAY: CEO wa Simba, Babra Gonzales azuiliwa kuingia kwa Mkapa

CEO Babra CEO wa Simba ,Babra Gonzalez azuiliwa Kuingia Uwanjani

Sat, 11 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Babra Gonzalez, amezuiwa kuingia ndani ya uwanja wa Mkapa kushuhudia mechi ya Ligi Kuu kati ya Simba na Yanga.

Kupitia video fupi aliyoiachia Babra amesema alikua na familia yake na licha ya kuonesha tiketi zote bado hakuruhusiwa jambo lililomlazimu kuondoka eneo hilo.

Tazama video hapa chini Babra akitoa malalamiko yake

Chanzo: www.tanzaniaweb.live