Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#DABIDAY: Simba 0-1 Yanga

Musonda Meee Mfungaji wa Bao la Yanga Kennedy Musonda

Sun, 5 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji raia wa Zambia Kennedy Musonda anawatanguliza Yanga kwa bao la uongozi akiumganisha pasi safi ya Yao Kouassi.

Mshambuliaji raia wa Zambia Kennedy Musonda anawatanguliza Yanga kwa bao la uongozi akiumganisha pasi safi ya Yao Kouassi. Bao la Yanga limefungwa na Kennedy Musonda dakika ya tatu ya mchezo na mpaka sasa Yanga wako mbele kwa uongozi wa bao 1-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: