Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#DABIDAY: Half Time, Simba 1-1 Yanga

Simba Vs Yanga Novemba 5.jpeg Mchezo ni mapumziko huku matokeo yakiwa 1-1

Sun, 5 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zinakamilika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Wenyeji Simba dhidi ya Yanga.

Bao ni 1-1 huku Kennedy Musonda akiwantanguliza Wananchi dakika ya 3' ya mchezo kabla ya Kibu Denis kuisawazishia Simba SC dakika ya 9.

Yanga wamefanya mashambulizi mengi langoni mwa Simba ambayo yamelenga lango (3) huku Simba wakifanya shambulizi 1.

Je dakika 45 za pili vigogo hawa watatuletea tofauti gani katika mchezo huu wenye ushindani wa hali ya juu?

Tusubiri tuone.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: