Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cristiano Ronaldo hapoi huko

Ronaldo 40 Cristiano Ronaldo.

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo amefunga bao lake la 127 na kuendelea kuwa kinara wa magoli wa wakati wote wa mechi za kimataifa.

Ronaldo pia amefikisha magoli 40 ndani ya mwaka 2023 na kuwa na mchezaji mwenye magoli mengi zaidi Duniani ndani ya mwaka 2023 akimpita Erling Haaland mwenye magoli 39.

VINARA WA MAGOLI 2023

Cristiano Ronaldo: magoli 40 (Miaka 38)

Erling Haaland: magoli 39 (miaka 23)

Kylian Mbappé: magoli 35 (miaka 24)

MATOKEO MECHI ZA KUFUZU EURO 2024

FT: Bosnia 0-5 Portugal

⚽⚽ Ronaldo (P) 5' 20'

⚽Bruno 25'

⚽ Cancelo 32'

⚽ Felix 41'

KUNDI B

Greece 0-1 Netherlands

Gibraltar 0-4 Rep Of Ireland

KUNDI F

Belgium 1-1 Sweden (mechi imeahirishwa)

KUNDI J

Luxembourg 0-1 Slovakia

Bosnia 0-5 Portugal

Iceland 4-0 Liechtenstein

Mechi kati ya Ubelgiji dhidi ya Sweden imeahirishwa kufuatia vifo vya mashabiki wawili wa Sweden waliouawa katika shambulio la kigaidi mjini Brussels, Ubelgiji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live