Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cristiano Ronaldo alivyoiweka Ligi Kuu saudia miguuni mwake

WhatsApp Image 2023 05 24 At 03.jpeg Cristiano Ronaldo alivyoiweka Ligi Kuu saudia miguuni mwake

Wed, 24 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo katika Saudia pro league msimu huu hadi sasa.

Mechi 15

Dakika 1350

Mabao 14

Pasi za mabao 2

Dakika kwa kila bao 96

Mabao ya penalty 5

Nafasi alizotengeneza 18

Mashuti yaliyolenga goli 28

Chenga alizofanikiwa kupiga 20

Hakuna mchezaji aliyefunga mabao mengi katika Saudia pro league kumzidi yeye, tangu January 22 ya mwaka huu alipocheza mechi yake ya kwanza katika ligi hiyo.

Ni wachezaji wanne pekee wamefunga mabao mengi kuliko yeye kwenye Saudia pro league msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live