Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cristiano Jr asajiliwa Madrid

Cristiano Jr Msn.jpeg Cristiano Jr asajiliwa Madrid

Wed, 28 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji Chipukizi, Cristiano Jr (mtoto wa Cristiano Ronaldo) amerejea katika shule ya vipaji ya Real Madrid kutoka Manchester United ikiwa ni miaka minne tangu aondoke klabuni pamoja na baba yake.

Cristiano Jr anatimkia Real Madrid siku chache baada ya babake kuonekana kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Real Madrid wakati akiendelea kutafuta klabu mpya.

Akiwa na umri wa miaka 12 tu Cristiano Jr amekuwa akichezea kikosi cha Manchester United U-14 akifunga magoli 58, Assists 18 katika mechi 23.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live