Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cristiano Jr anacheza vizuri kuliko baba yake

Ronaldo Jr(1) Cristiano Jr anacheza vizuri kuliko baba yake

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mama mzazi wa Ronaldo Cristiano, Maria Doroles amesema kuwa mjukuu wake Cristiano Ronaldo Jr (13) kwa umri aliyo nao anacheza vizuri kuliko baba yake alivyokuwa na umri huo.

"Kwa umri wake, Cristiano Jr anacheza vizuri kuliko Ronaldo alivyokuwa kwenye umri huo, Ronaldo hakuwa na Kocha, lakini leo hii Ronaldo ndiye Mwalimu wa mtoto wake "

"Tayari nishamwambia Mwanangu (Cristiano) yakwamba nataka nimuone akichezea Sporting kabla sijaondoka Duniani, kama sio yeye basi mtoto wake, maana ni bora kuliko yeye.

Takwimu za mtoto wa Cristiano Ronaldo kipindi akiwa Juventus.

Michezo 23

Magoli 58

Pasi za magoli 18.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live