Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cotton Sports Timu ya Kwanza kuaga Michuano ya CAF

FqrDd 8WcAIImgl Kikosi cha Cotton Sports

Wed, 8 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cotton Sport ya Cameroon imekuwa Klabu ya kwanza kuondolewa kwenye Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mara baada ya kufungwa Mechi nne Mfulululizo

Rekodi zake katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa amefuzu mara 2 hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa na hawajahi kuonja ladha ya Ushindi wala sare.

Cotton Sports walikuwa kundi B sambamba na timu za Mamelodi, Al Hilal, Al Ahly.

MSIMAMO KUNDI B

Al Hilal ———[9] pts

Mamelodi ——[7] pts

Al Ahly ———[4] pts

Coton Sport—[0] pts

Chanzo: www.tanzaniaweb.live