Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Costa aachana na LA Galaxy

Douglas Costa LA Galaxy.jpeg Douglas Costa

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa kimataifa wa Brazil Douglas Costa ameamua kuondoka katika Klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani, kwa sasa ni mchezaji huru.

Winga wa kimataifa wa Brazil Douglas Costa ameamua kuondoka katika Klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani, kwa sasa ni mchezaji huru. Douglas Costa yupo tayari kupata changamoto mpya haraka iwezekanavyo, na vilabu vya nchini Saudi Arabia vimeanza kummezea mate.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live