Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Copa America imemtuliza Lionel Messi

Lipnel Messi Qatar.jpeg Lionel Messi

Sat, 17 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa zamani wa England Gary Lineker amesema miongoni mwa sababu ya nyota Lionel Messi kufanya vizuri kwenye kombe la dunia 2022 linaloendelea nchini Qatar ni kutwaa kombe la Copa America mnamo mwaka 2021 na kumempunguzia mzigo na matarajio makubwa kutoka kwa mashabiki wa Argentina juu yake.

Nahodha wa zamani wa England Gary Lineker amesema miongoni mwa sababu ya nyota Lionel Messi kufanya vizuri kwenye kombe la dunia 2022 linaloendelea nchini Qatar ni kutwaa kombe la Copa America mnamo mwaka 2021 na kumempunguzia mzigo na matarajio makubwa kutoka kwa mashabiki wa Argentina juu yake. Messi mwenye miaka 35 ametangaza kustaafu kuitumikia Argentina baada ya mchezo wa fainali wa kombe la Dunia dhidi ya Ufaransa utakaochezwa Disemba 18-2022 huku amekuwa kwenye kiwango bora kwenye michezo 6 ya michuano hiyo akitwaa tuzo ya mchezaji bora wa mchezo mara 4 mpaka sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live