Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cooper apewa mikoba ya Maresca Leicester City

Steve Cooper Leic Steve Cooper

Thu, 20 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Leicester City iliyopanda daraja kwenda Ligi Kuu England imemteua mkufunzi Steve Cooper kuwa kocha mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Enzo Maresca aliyetimkia Chelsea.

Klabu ya Leicester City iliyopanda daraja kwenda Ligi Kuu England imemteua mkufunzi Steve Cooper kuwa kocha mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Enzo Maresca aliyetimkia Chelsea. Cooper (44) raia wa Wales ambaye amekuwa hana kibarua tangu alipotupiwa na Nottingham Forest mnamo Desemba mwaka jana amesaini mkataba wa miaka mitatu mpaka Juni 2027.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live