Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Conte na Spurs yake wanachapa Kimya kimya

Dytduc Spurs waichapa Watford

Sat, 1 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la Davinson Sanchez kwenye dakika ya dakika ya 96 limetosha kuipa ushindi Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Watford kwenye mchezo uliopigwa dimba la Vicarage Road Leo Jumamosi Januari Mosi.

Bao la mlinzi Sanchez lilikuwa la kichwa akimalizia mpira wa faulo wa Son Heung-min ambapo sasa kikosi cha kocha Antonio Conte kinaendeleza kucheza bila kushindwa/kupoteza.

Kipa Daniel Bachmann alifanya kazi kubwa kuzuia majaribio ya Son Heung-min na Harry Kane ambapo nafasi ya pekee kwa Watford ilikuwa kupitia kwa Josh King.

Matokeo hayo yanaifanya Tottenham kufikisha alama 33 katika nafasi ya sita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live