Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Congo waitupa nje Misri AFCON, Inonga huyoo Robo Fainali

Congo Vs Inonga Congo waitupa nje Misri AFCON, Inonga huyoo Robo Fainali

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetinga robo fainali ya kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) kufuatia ushindi wa penalti 8-7 dhidi ya Mafarao katika dimba la Laurent Pokou, San Pedro.

Congo imepata ushindi huo baada ya dakika 90 za mchezo huo kumalizika kwa sare ya bao 1-1DR Congo.

Congo ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Meschack Elia 37’ kabla ya Misri kusawazisha kwa bao la Mostafa Mohamed 45’.

DR Congo itachuana na Guinea katika hatua ya robo fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live