Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Congo, Afrika Kusini kukomba Tsh bilioni 6.3 kila mmoja

Afcon When How To Watch South Africa Vs Dr Congo 800x450 Congo, Afrika Kusini kukomba Tsh bilioni 6.3 kila mmoja

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu za Taifa za Afrika Kusini na Congo DR, kila mmoja ataondoka na kitita cha Tsh bilioni 6.3 baada ya kushika nafasi ya tatu na ya nne kunako michuano ya AFCON 2023 pale Ivory Coast.

Ikumbukwe kuwa, Afrika Kusini imemaliza michuano ya AFCON 2023 katika nafasi ya tatu wakati Congo DR ikimaliza nafasi ya nne.

Afrika Kusini watapata faida ya kuondoka na medali ya shaba na pesa Tsh bilioni 6.3 wakati wazee wa mtaa wa nne Congo DR wataondoka na mpunga wao Tsh bilioni 6.3 kimya kimya kwenda kula bata.

Kwa upande wa Afrika Kusini wao, Tsh bilioni 6.3 watagawana wachezaji na benchi lao la ufundi hapa Chama Cha Soka hakipati chochote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live