Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coman ageuka Lulu sokoni

Coman Kingsley Return Coman ageuka Lulu sokoni

Tue, 25 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Ufaransa na klabu ya Bayern Munich, Kingsley Coman amegeuka lulu sokoni baada ya kutakiwa na timu tofauti.

Coman aliyeko na Ufaransa katika Mashindano ya Euro 2024 nchini Ujerumani thamani yake imetajwa na Bayern Munich kuwa ni kiasi cha Paundi Mil 50.

Timu hizo zinazomtaka Coman ni Paris Saint-Germain (PSG) Barcelona na klabu moja ya Ligi ya Uingereza ambayo haijawekwa wazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live