Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cole Palmer Mchezaji Bora Chipukizi EPL

Cole Palmer Cole Palmer

Sat, 18 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Chelsea, Cole Palmer ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa mwaka wa Ligi Kuu England msimu wa 2023/24 baada ya kuhusika kwenye magoli 32 ya ligi hiyo msimu huu.

Kiungo mshambuliaji wa Chelsea, Cole Palmer ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa mwaka wa Ligi Kuu England msimu wa 2023/24 baada ya kuhusika kwenye magoli 32 ya ligi hiyo msimu huu. Palmer amefunga magoli 22 na kusaidia (assist) mengine 10 mpaka sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live