Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coastal yaichapa Mbeya Kwanza Mkwakwani

Coastal Union Coatal yaichapa Mbeya Kwanza

Sun, 5 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Ligi Kuu Bara 2021/2022 ikiingia mzunguko wa nane tayari kuna matukio mengi ya kusisimua yameendelea kujitokeza.

wenyeji, Coastal Union wameichapa timu nyingine iliyopanda Ligi Kuu msimu huu, Mbeya Kwanza mabao 2-1 Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Mabao ya Coastal Union yamefungwa na Vincent Abubakar dakika ya pili na Amani Kyata dakika ya 76, wakati la Mbeya Kwanza limefungwa na Willy Edgar dakika ya 48.

Coastal Union inatimiza pointi 11 na kupanda nafasi ya sita, wakati Mbeya Kwan inabaki na pointi zake saba katika nafasi ya 13 baada y timu zote kucheza mechi nane.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live