Klabu ya Coastal Union imetangaza Septemba 20 ni siku ya mashabiki kuondoka Tanga kwenda Dar kwenye mchezo wa raundi ya pili Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba SC utakaopigwa Septemba 21 Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni.
Klabu ya Coastal Union imetangaza Septemba 20 ni siku ya mashabiki kuondoka Tanga kwenda Dar kwenye mchezo wa raundi ya pili Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba SC utakaopigwa Septemba 21 Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni. Coastal wamesema wanakwenda kwa malengo matatu waliyoyataja kwenye ukurasa wao wa Instagram kuwa ni kupora alama tatu, kuwatia 'stress' na tatu kumsalimia bwana "Ayoubu" ambaye ni golikipa wa Simba alieasajiliwa kutokea Morocco.