Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coastal Union wapata ushindi wa kwanza Ligi Kuu

IMG 7207.jpeg Coastal Union wapata ushindi wa kwanza Ligi Kuu

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Coastal Unión ya Tanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Oktoba Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Timu ya Coastal Unión ya Tanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Oktoba Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Mabao ya Coastal Unión yamefungwa na Bakari Suleiman dakika ya 19 na Lucas Kikoti dakika ya 89 kwa penalti na kwa ushindi huo wanafikisha pointi sita na kusogea nafasi ya 12, wakati Mashujaa inabaki na pointi zake nane nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi saba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: