Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coastal Union wapania Kimataifa, waanza ukarabati Uwanja wa Mkwakwani

Mkwakwani 000678 Coastal Union wapania Kimataifa, waanza ukarabati Uwanja wa Mkwakwani

Thu, 6 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Coastal Union imeanza ukarabati uwanja wa Mkwakwani kwa michezo ya Kombe la shirikisho (CAFCC), wamedhamiria kucheza nyumbani Tanga.

Coastal Union wameanza ukarabati wa Uwanja huo ili kuhakikisha unakidhi vigezi vya CAF.

"Kama wadau wangu watawiwa vizuri uwanja huu utawekwa viti, tukiweka viti uwanja mzima hata tukiingia makundi tutautumia uwanja huu."- amesema Rais Karia

Tazama Video hapa chini kuona ukarabati ukiendelea;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live