Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coastal Union wanamtaka Luis Miquissone

Miquissoneee Luis Miquissone

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Coastal Union imeulizi uwezekano wa kupata saini ya Luis Miquissone na Saido Ntibazonkiza ambao wote wameachwa na klabu ya Simba Sports ya Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa klabu hiyo asilimia 90 ya usajili wamekamilisha, zimesalia aslimia 10% ambazo watajaribu kuzitumia kuwasajili wachezaji hao ikiwezekana.

Mpaka sasa klabu ya Simba imetoa Thank You kwa wachezaji wanne (4).

◉ John Bocco

◉ Saido Ntibazonkiza

◉ Shaban Chilunda

◉ Luis Miquissone

◉ Kennedy Juma.

Afisa habari wa klabu hiyo Ahmed Ally amesema bado kuna Thank You nyingine za kutosha zinakuja Msimbazi.

Huu ni usajili wa Simba SC msimu uliopita 23|24, kati yao wangapi watabaki kikosini ?

01 ◉ Luis Miquissone ❌

02 ◉ Fabrice Ngoma

03 ◉ Che Malone Fondoh

04 ◉ Aubin Kramo

05 ◉ Abdallah Hamis

06 ◉ Esomba Onana

07 ◉ Shaban Chilunda ❌

08 ◉ Freddy Michael

09 ◉ Pa Omary Jobe

10 ◉ Babakar Sar

11 ◉ Ayoub Lakred

12 ◉ Ladack Chasambi

13 ◉ Sarehe Karabaka

14 ◉ Hussein Abel

15 ◉ Edwin Balua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live