Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coastal Union waichapa Prisons Sokoine

IMG 7638.jpeg Coastal Union waichapa Prisons Sokoine

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Benin, Roland Junior Beakou dakika ya 17 leo limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanj wa Sokoine Jijini Mbeya.

Bao pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Benin, Roland Junior Beakou dakika ya 17 leo limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanj wa Sokoine Jijini Mbeya. Kwa ushindi huo, Coastal Unión inafikisha pointi 10 na kusogea nafasi ya 10, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake saba nafasi ya 15 kwenye Ligi ya timu 16 baada ya wote kucheza mechi 10.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: