Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coastal Union waichapa Mtibwa Sugar Mkwakwani

Coastal Vs Mtibwa.jpeg Coastal Union waichapa Mtibwa Sugar Mkwakwani

Sun, 25 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

BAO pekee la Charles Semfuko dakika ya 12 limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Jumamosi Uwanja wa Mkwakwani Tanga.

BAO pekee la Charles Semfuko dakika ya 12 limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Jumamosi Uwanja wa Mkwakwani Tanga. Kwa ushindi huo, Coastal Unión inafikisha pointi 26 katika mchezo wa 17, ingawa inabaki nafasi ya nne, wakati Mtibwa Sugar wanaobaki na pointi zao nane za mechi 16 sasa wanaendelea kushika mkia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live