Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coastal Union waichapa Kagera Sugar Uwanja wa Mkwakwani

IMG 6402.jpeg Wachezaji wa Coastal Union wakishangilia ushindi

Sun, 10 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la kiungo Charles Semfuko dakika ya tano limewapa wenyeji, Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Jumamosi Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Bao pekee la kiungo Charles Semfuko dakika ya tano limewapa wenyeji, Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Jumamosi Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Ushindi huo unaifanya Coastal Unión ifikishe pointi 16 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya saba, wakati Kagera Sugar wanabaki na pointi zao 13 za mechi 11 nafasi ya 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: