Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coastal Union waichapa Ihefu Mkwakwani

IMG 9215.jpeg Coastal Union waichapa Ihefu Mkwakwani

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la kiungo Lucas Almeida Kikoti dakika ya 25 kwa penalti limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Jana Alhamis Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Bao pekee la kiungo Lucas Almeida Kikoti dakika ya 25 kwa penalti limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Jana Alhamis Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Kwa ushindi huo, Coastal Unión inafikisha pointi 30 na kupanda nafasi ya nne, wakati Ihefu SC inabaki na pointi zake 23 nafasi ya 20 baada ya wote kucheza mechi 21.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live