Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coastal Union waanza msimu kwa mtindo huu..!

Coastal Wapiga Mpunga Coastal Union wakiwa katika jambo lao leo Agosti 5

Sat, 5 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa mashindano 2022/23 Wachezaji na mashabiki wa Coastal Union ya Jijini Tanga wamekusanyika na kufanya dua ya pamoja kuwaombea Wachezaji na Viongozi wa timu yao waliotangulia mbele ya haki.

Kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa mashindano 2022/23 Wachezaji na mashabiki wa Coastal Union ya Jijini Tanga wamekusanyika na kufanya dua ya pamoja kuwaombea Wachezaji na Viongozi wa timu yao waliotangulia mbele ya haki. Dua hiyo imefanyika leo Agosti 5 Jijini Tanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live