Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coastal Union kujiuliza mbele ya Geita leo

Coastal Union Ligi Leo.jpeg Kikosi cha Coastal Union

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kutandikwa mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain gates klabu ya Coastal union Leo saw 1:00 usiku watakuwa uwanja wake wa nyumbani wa Mkwakwani dhidi ya Geita Gold ya Geita.

Geita walishinda bao 1-0 dhidi ya Namungo pale Nyankumbu-Geita.

katika michezo minne ya mwisho waliyokutana Geita na Coastal ,Coastal wamekuwa vibonde wa wachimba dhahabu kwani hawajawahi kupata ushindi wowote zaidi ya kuambulia sare tu.

Geita Gold ushindi -2

Coastal union ushindi-0

Sare - 2.

Leo unaenda na nani uwanja wa Mkwakwani ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: