Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coastal, Namungo hakuna mbabe Mkwakwani

IMG 6189.jpeg Mchezo wa Coastal vs Namungo umemalizika kwa sare ya bila kufungana

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Coastal Unión wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Wenyeji, Coastal Unión wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Matokeo hayo yanaifanya Coastal Unión ifikishe pointi saba na kusogea nafasi ya 13, Sawa na Namungo FC inayosogea nafasi ya 12 kwa wastani wa mabao baada ya wote kucheza mechi nane.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live