Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Clement Mzize kwenye kiwango Bora zaidi msimu huu

Mzize Clementinho.png Clement Mzize kwenye kiwango Bora zaidi msimu huu

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuondoka kwa Fiston Kalala Mayele kwenye kikosi cha Yanga, Clement Mzize amekuwa na kiwango bora sana ikichagizwa na kupata nafasi ya mara kwa mara kikosini.

Baada ya kuondoka kwa Fiston Kalala Mayele kwenye kikosi cha Yanga, Clement Mzize amekuwa na kiwango bora sana ikichagizwa na kupata nafasi ya mara kwa mara kikosini. Hadi hivi sasa katika michezo minne (4) ya mwisho ambayo Yanga wamecheza amehusika katika upatikanaji wa magoli matano (5), amefunga goli tatu (3) na pasi mbili (2) za usaidizi wa magoli.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: