Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Clement Mzize apigwa Faini Tsh Milioni 1

Mzize Red Eyes Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Clement Mzize alionekana akiingia uwanjani na kutoa taulo golini kwa Dodoma Jiji kwenye mechi ambayo Yanga ilishinda bao 1-0

Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Clement Mzize alionekana akiingia uwanjani na kutoa taulo golini kwa Dodoma Jiji kwenye mechi ambayo Yanga ilishinda bao 1-0 Kwa kosa hilo Mzize atalipa faini Tsh Milioni moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: