Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Claudio Ranieri atangaza kustaafu Soka

Ranieri Claudio Claudio Ranieri

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa zamani wa Chelsea, Juventus, Inter Milan na Leicester City, Claudio Ranieri amestaafu soka akiwa na umri wa miaka 72 baada ya kuinusuru klabu ya Cagliari na kushuka daraja na kuifanya iendelee kusalia Serie A.

Meneja wa zamani wa Chelsea, Juventus, Inter Milan na Leicester City, Claudio Ranieri amestaafu soka akiwa na umri wa miaka 72 baada ya kuinusuru klabu ya Cagliari na kushuka daraja na kuifanya iendelee kusalia Serie A. Ranieri raia wa Italia atakumbukwa kwa kuiongoza klabu ya Leicester City kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England msimu wa 2015/16 jambo lililowashangaza wengi ambapo walimaliza msimu wakiwa na pointi 81 alama 10 mbele ya Arsenal waliokuwa nafasi ya pili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live