Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Clatous Chama hali mbaya Simba

Simba Vs Yanga Chama Yulee.jpeg Clatous Chama hali mbaya Simba

Tue, 7 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Simba Clatous Chota Chama ameuanza msimu huu vibaya kwenye ligi kuu tofauti na misimu iliyopita akiwa ndani ya timu hiyo.

Takwimu zilizokusanywa na Tanzaniaweb.com zinaonyesha kuwa Chama msimu uliopita alikuwa kinara wa kutoa pasi za mabao ambapo aliongoza kwa Asisti 14 na mabao 4.

Msimu huu mambo yamekuwa mabaya kwa Chama kwani mpaka sasa ametoa asisti 1 tu tofauti na msimu uliopita katika mzunguko wa 7 wa ligi tayari alikuwa ametoa asisti 5 na mabao 2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live