Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Clatous Chama alivyowapa Darasa la upishi nyuki wa Tabora

Clatous Chama Tabora.jpeg Clatous Chama alivyowapa Darasa la upishi nyuki wa Tabora

Wed, 7 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Simba SC, Clatous Chama kapika asali zake mbili pale Ali Hassan Mwinyi dhidi ya Tabora United.

Kiungo wa Simba SC, Clatous Chama kapika asali zake mbili pale Ali Hassan Mwinyi dhidi ya Tabora United. Mchezo huo uliwashuhudia Simba wakiibuka na ushindi wa mabao 4-0 na kuwafanya kufikisha alama 29 katika nafasi ya tatu msimamo wa Ligi, na kama kawaida yake Chama lazima awe na Moment moja acheze na mabeki kama anacheza na wanae pale nyumbani... Form is Temporary, Class is Permanent...

Chanzo: www.tanzaniaweb.live