Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Clara atajwa Orodha ya Wachezaji 25 hatari zaidi Duniani

Clara Luvanga Goals Clara Luvanga

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Utafiti uliofanywa na jarida la Goal na washirika wengine kama 433 wamemtaja Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Clara Luvanga kwenye orodha ya wachezaji 25 bora wanaochipukia kwasasa duniani.

Kwenye Orodha hiyo Clara ametajwa kwenye nafasi ya 16 huku akiwa mchezaji pekee kutoka barani Afrika.

Orodha ya wachezaji chipukizi hatari zaidi duniani kwa mujibu wa GOAL;

1. Linda Caecedo, Real Madrid, Colombia

2. Vicky Lopez, Barcelona, Hispania

3. Aline Gomes, Ferroviaria, Brazil

4. Mara Alber, Hoffenheim, German

5. Signe Gaupset, Brann, Norway

6. Wieke Kaptein, Chelsea, Uholanzi

7. Olivia Moultrie, Portland, Marekani

8. Momoko Tanikawa, Bayern, Japan

9. Dudinha, Sao Paulo, Brazil

10. Sara Ortega, Athlethic Club, Hispania . . 16. Clara Luvanga, Al Nassr, Tanzania

Chanzo: www.tanzaniaweb.live