Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Clara Luvanga mfungaji bora Saudi Arabia

Clara Luvanga Ubingwa Clara Luvanga mfungaji bora Saudi Arabia

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa timu ya taifa Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars), Clara Luvanga ameibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Saudia Arabia kwa kufunga mabao 11.

Mshambuliaji wa timu ya taifa Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars), Clara Luvanga ameibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Saudia Arabia kwa kufunga mabao 11. Clara aliyewahi kutamba na Yanga Princess amekisaidia kikosi chake cha Al Nasri kushinda ubingwa wa Ligi nchini humo kwa kucheza mechi 11 na kufunga mabao 11 pia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live