Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Clara Luvanga ampa maua yake Edna Lema "Mourinho"

Clara Luvanga Goals Clara Luvanga ampa maua yake Edna Lema "Mourinho"

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa klabu ya Al Nassr ya wanawake, Mtanzania Clara Luvanga amebainisha kuwa anajivunia kuwa mmoja wa wachezaji waliopita kwenye mikono ya kocha maarufu zaidi mwanamke Tanzania Edna Lema “Mourinho” ambaye walikuwa na nyakati bora siku zilizpotita.

“Edna Lema kocha wa mpira kila mcezaji aliyepita kwenye mikono yako atalitaja jina lako, najivunia kupita katika mikono yako mpaka hapa nilipofika” - aliandika Clara kupitia mitandao yake ya kijamii

Clara na Edna walikuwa wote Yanga Princess misimu kadhaa iliyopita huku pia Edna akiwa kocha wa timu za Taifa za wanawake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live