Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Clara Luvanga abeba Ubingwa Saudi Arabia

Clara Luvanga Ubingwa Clara Luvanga

Sat, 16 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliji wa Kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga hapo jana aliisaidia Klabu yake ya Al Nassr kubeba ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Saudi Arabia baada ya kushinda mechi yao dhidi ya Al Hilal kwa goli 4-2 huku yeye akifunga goli moja.

Mshambuliji wa Kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga hapo jana aliisaidia Klabu yake ya Al Nassr kubeba ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Saudi Arabia baada ya kushinda mechi yao dhidi ya Al Hilal kwa goli 4-2 huku yeye akifunga goli moja. Pongezi nyingi kwa Clara kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live