Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Clara Luvanga aanza maisha mapya Al Nssr

Clara Luvanga Al Nssr.jpeg Clara Luvanga aanza maisha mapya Al Nssr

Sun, 15 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa Yanga Princess na timu ya taifa, Clara Luvanga ameanza maisha yake mapya katika klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia baada ya kuvunja mkataba na Dux Lugrono ya Hispania.

Mchezaji wa zamani wa Yanga Princess na timu ya taifa, Clara Luvanga ameanza maisha yake mapya katika klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia baada ya kuvunja mkataba na Dux Lugrono ya Hispania. Clara amesaini mkataba wa miaka mitatu na Al Nassr ikiwa ni miezi miwili imepita tangu ajiunge na Dux Lugrono ya Hispania

Chanzo: www.tanzaniaweb.live