Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Cisse mbioni kuitema Senegal

Aliou Cisse Senegal Aliou Cissé

Thu, 1 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inaripotiwa kuwa Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Senegal Alliou Cisse ana mpango wa kujiuzulu nafasi yake.

Cisse amehudumu ndani ya Simba wa Teranga kwa muda wa miaka 9 na kufanikiwa kutwaa taji moja la AFCON,

Sababu ya kutaka kufanya hivyo inatajwa kuwa ni sababu binafsi.

Alliou Cisse ndani ya AFCON 2023 ameishia hatua ya 16 bora na kikosi chake huku akifanikiwa kuiongoza Senegal kushinda michezo mitatu ya hatua ya makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live