Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chilwell nje miezi miwili Chelsea, Kocha hali ngumu

Chilwell Ben Ben Chilwell

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa Chelsea na timu ya Uingereza Ben Chilwell atakuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili ijayo kufuatia majeraha mapya aliyoyapata wiki iliyoisha!

Ben anatarajiwa kurejea uwanjani baada ya miezi miwili kupita japo itategemea na kasi ya kupona kwake inaweza pia kuwa zaidi ya miezi miwili!

Michezo ambayo mwingereza anaweza kucheza ni ile ya karibu na Christmas kutokana na taarifa za ndani ya klabu ya chelsea zinavyoeleza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live