Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chilwel aongeza Mkataba mpya Chelsea

Ben Chilwell.jpeg Mlinzi wa Chelsea, Ben Chilwel

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa Pembeni wa Klabu ya Chelsea Muingereza Ben Chilwell ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili ndani ya Klabu hiyo.

Beki wa Pembeni wa Klabu ya Chelsea Muingereza Ben Chilwell ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili ndani ya Klabu hiyo. Mkataba wa Ben Chilwell ulikua unaisha June 2025 baada ya kuongeza miaka miwili mkataba wake utaenda hadi June 2027.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live