Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chiellini atundika daluga

Giorgio Chiellini Chiellini atundika daluga

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa zamani wa Juventus na timu ya Taifa ya Italia, Giorgio Chiellini ameamua kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 39.

Chiellini alikuwa akichezea klabu ya Los Angeles FC ya Ligi Kuu ya MLS ya Marekani kabla ya kuamua kutundika daluga.

Hadithi fupi

Luis Suárez aliwahi kumng'ata Chiellini katika hali ya kushangaza kwenye Kombe la Dunia la 2014.

Badala ya kukemea kitendo hicho, Chiellini alisema “Ili kumpita mpinzani ni lazima uwe mjanja. Navutiwa na mbinu zake”

Wewe ungesemaje baada ya kung'atwa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live