Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chiellini: Kama Ibrahimovic Ataendelea Mimi Pia Nitaendelea

Georgio Chiellin Giorgio Chiellini na Ibrahimovic

Mon, 14 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Giorgio Chiellini amedai kwamba Zlatan Ibrahimovic ambaye ana umri wa miaka 40 amemuhamasisha kwa kiasi fulani kuendelea kucheza mpira licha ya kufikisha umri wa miaka 37.

Aliongelea uhusiano wake na Ibrahimovic Chiellini alitania kwamba wanajadili kuhusu kustaau kwao.

“Ndiyo, kama Ibra ataendelea na mimi pia nitaendelea, labda nimpigie simu na tunaweza kuamua,” alisema katika mahojiano na The Times alipoulizwa kama maisha ya kucheza soka kwa muda merfu ya Msweden huyo yamechangia mawazo yake kuhusu hatima yake.

“Kutoka zamani Ibra alikuwa ni adui yangu mkubwa” Chiellini aliongeza

“Ibra anabahati mbaya kucheza katika zama za kina Lionel Messi na Christiano Ronaldo sababu bila wao pengine angepata Ballon d’Or kadhaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live