Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chid Benz kula shavu Yanga vs Medeama kwa Mkapa

Chid Benzinooooo Chid Benz kula shavu Yanga vs Medeama kwa Mkapa

Sun, 17 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea mchezo wa Young Africans dhidi ya Medeama siku ya Jumatano, klabu hiyo ina mpango wa kumleta msanii wa Hiphop Chid Benz kwaajili ya kutoa burudani kwa mashabiki watakao jitokeza kwenye mchezo huo.

“Yanga imesheheni burudani, ndani na nje ya uwanja. Kwa mfano tumekuwa tukipata burudani kutoka kwa DJ Ally B. Wasanii wote wakubwa Tanzania ni Yanga. Niwahakikishie nitapambana kwenye mechi ya Medeama tumpate Chidy Benzi. Tunataka Dar es Salaam isimame” Ally Kamwe.

Goma gani la Chid Benz utatamani alipige siku hiyo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: